Home / Web Design / WordPress ni nini na Vipi Inafanya Kazi

WordPress ni nini na Vipi Inafanya Kazi

UploadHabari…

Asante kutembelea website ya yesayasoftware.com, kabla hatujaanza zama zaidi kwenye WordPress. Ni vizuri tukajua, WordPress nini na vipi inafanya kazi.

Ukiinstall na kuconfigure WordPress unaweza itumia tengeneza aina mbalimbali za website kama portfolio, blog, au ecommerce website, the possibilities are almost endless. WordPress ni kuunganishi kati ya mwandishi, database na mtembelea website.

Ukijua jinsi WordPress inavyofanya kazi itakuwa rahisi kwako kupata uelewa wakati ukinstall WordPress kwa mara ya kwanza, ukitengeneza na kupublish content mpya na ukiextend WordPress kwa theme au plugin nyingine.

Ili WordPress ifanye kazi unahitaji vitu vitatu, moja WordPress yenyewe, mbili WebServer inayosupport PHP and MySQL ambapo WordPress itakuwa installed, na tatu ni database ambapo WordPress itatunza taarifa. Tutaangalia kwa pamoja jinsi ya kuinstall na kuconfigure WordPress hapa yesayasoftware.com.

Kwenye WordPress tunaweza tengeneza aina mbalimbali ya contents, posts, pages, and Media items. Katika kila contents tulizoana zimehuanishwa na comments, na kila moja inaweza kuwa extended with additional functionalities kupitia themes and plugins.

Wakati ukitengeneza post, page au media item mpya, taarifa mpya inaingizwa kwenye database na inakuwa na kila taarifa inayohusiana nayo, kichwa cha taarifa, content, mwandishi, tarehe ya kupublish na kadhalika.

Mara baada ya kupublish taarifa zako zinaweza kufikiwa kupitia URL, wakati user akifungua URL kupitia browser WordPress itaretrieve taarifa kutoka kwenye database, nakutumia template sahihi kuleta taarifa kwa user kulingana na theme iliyokuwa installed. Matokeo ndio tunatafsiri kama website.

Kinachofanya njia hii kuwa powerful, badala ya kutengeneza page mpya za HTML kama page zinazojitegemea. WordPress inatengeneza Database entry na kutungeneza pages on the fly when they are requested by the visitor.

Usiende mbali na yesayasoftware.com, kipindi kijacho tuanza install WordPress.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Take Your CSS Experience to the Next Level with SASS

Take Your CSS Experience to the Next Level with SASS

Beginners or those who have taken a break from web design for a few years …