Home / Graphic Design / Tengeneza Photobook na Adobe InDesign

Tengeneza Photobook na Adobe InDesign

2Habari…

Asante kutembelea website ya yesayasoftware.com, ninakukaribisha tuandae Photobook na Adobe InDesign. Adobe InDesign inatumika tengeneza vitabu, brochure, magezeti na publications nyingi sana, na sasa hadi vitabu vya kielectonic ebook vinatengenezwa na Adobe InDesign.

Katika video hii nimeonyesha mbinu na Tools mbalimbali ndani ya Adobe InDesign, nimetumia mfano ambao uko rahisi kidogo wa kutengeneza kitabu cha picha (Photobook). Tools za muhimu nilizo onyesha ni pamoja na Move Tool, Rectangle Frame Tool na Hand Tool.

Ukifuatilia mwanzo hadi mwisho utaweza pata mbinu za kuweza fanya kitu kama mimi nilichofanya au ukapata uelewa namna Photobook inavyotengenezwa. Hivyo ninakukaribisha uungane nami mwanzo hadi mwisho kufuatilia video hii.

Ukimaliza pata mbinu usisite kushare na kulike kazi nayo fanya na usikose kuungana nami katika kipingi kijacho hapa yesayasoftware.com.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

How to Create Logo in Illustrator and using Custom Brushes

How to Create Logo in Illustrator and using Custom Brushes

In this tutorial we are going the Logo in Adobe Illustrator and playing around the …