Home / Technics / Microsoft Office / Tengeneza Word Template Mwanzoni Unapooanza Kuandika

Tengeneza Word Template Mwanzoni Unapooanza Kuandika

Microsoft-Word-2013Habari…

Asante kutembelea website ya yesayasoftware.com, ungana nami hatua kwa hatua tukiandaa Word Template ndani ya Microsoft Word.

Huenda unaandika research, proposal au report kwenye Microsoft Word, ni vyema ukatengeneza Word Template ili ikusaidie kuformat document yako kwa urahisi.

Hatua hii ni muhimu sana itapunguza ugumu wa kuformat kazi yako wakati tayari umekwisha andika. Katika video hii nimeonyesha mbinu mbalimbali kama kubadili default fonts kwenye styles zinazokuja na Microsoft Word na kuweka fonts zinazohitajika kwa kazi yako.

Pia nimeonyesha namna ya kubadili margins kwenye document yako na kuweka margins unazopenda zitumia kwa kazi unayo iandaa.

Ungana nami wakati mwingine nikishare nawe mbinu mbalimbali za kitechnohama hapa yesayasoftware.com, pia unaweza share na wadau wengine kuhusu yesayasoftware.com.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Whatsapp, Gmail

WhatsApp, Gmail Will Face Tough New Rules Set By EU Privacy Proposal

Online messaging and email services such as WhatsApp, iMessage and Gmail will face tough new …