Home / Graphic Design / Tengeneza Logo na Adobe Illustrator kwa Hatua Rahisi

Tengeneza Logo na Adobe Illustrator kwa Hatua Rahisi

1Habari…

Asante kutembelea website ya yesayasoftware.com, ungana nami tukitengeneza Logo kutumia Adobe Illustrator hatua kwa hatua bila kuruka hata moja.

Katika video hii nimetumia Adobe Illustrator CC 2015, ila ondoa shaka hatua zitakuwa sawa kabisa hata kama una toleo la nyuma kidogo.

Nimeeleza sababu kwa nini utumie Adobe Illustrator kwenye kudesign Logo na si Adobe Photoshop. Adobe Photoshop inatumika kwenye kuedit Pixel Based Images wakati Adobe Illustrator hutumika kwa Vector Images.

Naamini Logo yako itatumika kwa matumizi mengi na kwa ukubwa mbalimbali, sasa pixel images hupoteza ubora ikikuzwa zaidi ya kipimo ilichotengenezwa nacho, wakati sivyo kwa Vector images. Vector images haipotezi ubora wake hata ikikuzwa zaidi na zaidi.

Hivyo tizamaa video hii uanze tengeneza Logo sasa na mambo mengine mengi zaidi. Ungana nami wakati mwingine hata yesayasoftware.com

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

How to Create Logo in Illustrator and using Custom Brushes

How to Create Logo in Illustrator and using Custom Brushes

In this tutorial we are going the Logo in Adobe Illustrator and playing around the …