Home / Programming / Laravel / Database Migration ndani ya Laravel

Database Migration ndani ya Laravel

12Habari…

Asante kutembelea website ya yesayasoftware.com, ungana nami leo tukizama ndani zaidi ya Laravel, tukianza na Database Migration.

Katika video hii nimeshare mengi sana kuhusu Database Migration katika Laravel. Nimeanza kwa kufananisha Database Migration ya Laravel kama version control ya Database yako. Kwani Database Migration ndani ya Laravel inatunza taarifa za mabadiliko ya Database kadili unavyo yafanya.

Nimeonyesha mafile mawili ya migration yanayokuja na Laravel ambayo ni file la users table na password reset. Baada ya hapo nikaenda mbali zaidi kwa kuanza tengeneza file jipya kabisa la migration na nimeonyesha hatua zote za kufanya ili utengeneza migration class.

Nikamalizia kwa kuonyesha namna unavyoweza fanyia mabadiliko database ambayo tayari imaanza tumika. Nimeongeza column mpya kutumia Database Migration ya Laravel na hatua ni rahisi kabisa.

Usikose jiunga nami kipindi kijacho, na usisahau shirikisha na kulike yesayasoftware kwenye social networks. Pia kwa maoni unaweza tumia sehemu ya comments hapa chini ya post hii.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …