Home / Technics / Microsoft Office / Update Mpya kutoka Microsoft Office 2016

Update Mpya kutoka Microsoft Office 2016

Microsoft Excel 2016Habari…

Asante kutembelea website ya yesayasoftware.com, ungana nami tukiangalia update mpya kutoka Microsoft Office 2016.

Kuna mabadiliko kadhaa yameongezeka ndani ya Microsoft Office kama sharing feature ndani ya Microsoft Power Point na kuboreshwa kwa formular ndani ya Microsoft Excel. Ila nimependa feature ya Black theme ndani ya Microsoft Office.

Theme hii hupadilisha applications za Microsoft Office kuwa na rangi nyeusi, theme hii ni nzuri kama unafanya kazi mazingira yenye mwanga kidogo.

Nimeona ni vyema nikashare nawe namna ya kubadili theme hii kwenye computer yako, kama bado hujaupdate Microsoft Office fanya hivyo sasa na angalia hatua hizi rahisi.

Usiache shirikisha yesayasoftware.com na kama una wasiwasi uache kutoa maoni hapa chini ya post hii, nitakusaidia kuondoa dukuduku lako.

 

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Whatsapp, Gmail

WhatsApp, Gmail Will Face Tough New Rules Set By EU Privacy Proposal

Online messaging and email services such as WhatsApp, iMessage and Gmail will face tough new …