Home / Web Design / Tengeneza E-Commerce Website kwa Njia Rahisi

Tengeneza E-Commerce Website kwa Njia Rahisi

Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia matumizi makubwa ya mtandao katika kufanikisha biashara mbalimbali. Na faida zitokanazo na matumizi ya mtandao katika biashara ni kubwa sana. E-Commerce website zinatumezesha kuwafikia wateja wengi zaidi, na hapa ninamaanisha dunia nzima. Yoyete atae ingia kwenye website yako atapata huduma zako kwa urahisi kabisa.

Zamani hatua za kupata website yako binafsi ilikuwa ni “process” ndefu, kwa sasa si hivyo tena. Mambo yamerahisishwa kwa kiasi kikubwa sana, hivyo basi zoezi hili sasa litachukua muda mfupi tuu. Kwenye video hii nimeonyesha hatua za kupitia tengeneza “e-commerce website”. Nimetumia WordPress pamoja na WooCommerce plugin.

WordPress ni “Content Management System” maarufu kabisa na inatumiwa na makampuni makubwa kabisa kama “CNN”. Kwa kitambo sasa WordPress imesaidia tunza na kumanage taarifa za website za watu na makampuni mbalimbali.

Lakini WordPress imetoa fursa kwa watu wengine ongezea kazi ndani ya WordPress, na kupelekea WordPress kufanya kazi nyingine zaidi kwa kumanage taarifa za website tuu.

WooCommerce ni WordPress plugin ambayo inaongezea uwezo wa WordPress na kuweza kufanya shughuli za mauzo na manunuzi kwa njia ya mtandao. Hatua zake ni rahisi kabisa na imani ukiangalia video hii utapata kitu ili nawe uanze tengeneza e-commerce website.

Asante kutembelea Yesaya Software na kutazama video hii, usikose jiunga na wakati mwingine hapa Yesaya Software.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Take Your CSS Experience to the Next Level with SASS

Take Your CSS Experience to the Next Level with SASS

Beginners or those who have taken a break from web design for a few years …