Home / Graphic Design / Tengeneza Icon kwa Adobe Illustrator

Tengeneza Icon kwa Adobe Illustrator

Kuna icons nyingi kwenye internet tayari, lakini ni vyema pia kama wewe ukapata muda tengeneza icons zako. Kuna wakati unaweza kosa kabisa icon ambayo itakidhi mahitaji yako.

Icons tunazitumia maeneo mengi sasa kuanzia kwenye form za HTML hadi kwenye Mobile Apps. Hivyo kuna haja sasa kuwa na uwezo tengeneza icons ili uboreshe muonekano wa kazi yako.

Muoneka wa “Application” yako ni muhimu sana kwani unapeleka ujumbe fulani kwa mtumiaji na namna ambayo mtumiaji anawasiliana na “Application” yako.

Tumia muda wako kutazama video hii, kuna kitu kipya utakipata hapa na kitakusaidia katika kazi zako za kila siku. Usiache like, comment na kushare video hii na endelea tembelea website ya Yesaya Software.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

How to Create Logo in Illustrator and using Custom Brushes

How to Create Logo in Illustrator and using Custom Brushes

In this tutorial we are going the Logo in Adobe Illustrator and playing around the …