Home / Web Design / 6. Kutengeneza Package File

6. Kutengeneza Package File

Hatua inayofuata nikutengeneza Package File, na tayari nimeingia kwenye command prompt na kuingia kwenye project yangu.

Kutengeneza package.json file tutamia command npm init, nitapata taarifa fupi na nimeulizwa swali. Nitaanza jibu maswali haya. Name nitakubali kuwa upendo, nitakubali version number, nitaandikia description, entry point nitajaza index.php. Nitaacha wazi test command, pia kama huhitaji kuwa na repository acha wazi, mimi nitaza github repository ya project hii. Nitaajaza keywords zinazoendana na theme hii sass, grunt, autoprefixer, underscores na wordpress. Author nitaandika jina langu, nitakubali license, kisha nitapata summary naona iko sawa nitakubali yes. Na sasa file limetengenezwa.

Nikirudi kwenye sublime, nitaingia kwenye theme yetu na nitaona kuna file jipya la package.json. Pia ninaona kuna baadhi ya vitu hata sivihitaji hapa nitatoa hii scripts haina haja hapa.

Sasa hili ndio file linalo define project structure, hivyo baadae tukianza weka packages zitaonekana kwenye file hilo. Ni hayo tuu kuhusu kutengeneza Package file ungana nami kipindi kijacho.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Take Your CSS Experience to the Next Level with SASS

Take Your CSS Experience to the Next Level with SASS

Beginners or those who have taken a break from web design for a few years …