Home / Web Design / 7. Ongeza Packages Grunt, SASS, Watch na Autoprefixer

7. Ongeza Packages Grunt, SASS, Watch na Autoprefixer

Baada ya kutengeneza file la package.json sasa tuongeze package nyingine zitazotuwezesha ifanya kazi yetu. Package hizi ni grunt, sass, watch na autoprefixer. Kama kawaida tutamia npm kuinstall package hizi.

Niko tayari kwenye command prompt na nimeingia ndani ya project yangu, nitaanza install Grunt package, nitaandika npm install grunt –save-dev.  Nitaclear screen, kisha nitainstall sass kwa kuandika npm install grunt-contrib-sass –save-dev. Baada ya hapo nitainstall watch kwa kuandika npm install grunt-contrib-watch –save-dev. Nitaclear screen kisha, nitamalizia kwa kuinstall autoprefixer kwa kuandika npm install grunt-autoprefixer –save-dev. Autoprefixer imemaliza salama na tumefanikiwa ongeza hizi package zote za muhimu

Tukirudi hapa kwenye sublime utaona kuna kipande kimeongezeka kinaitwa devDependencies. Na hizi ndio packages tuliozo ongeza, pia ukienda kwenye project folder, utaona kuna folder limeongezeka linaitwa node_modules. Folder hili lina mafile mengi yote ni kuwezesha package dependencies vifanye kazi vizuri, na ndio sababu tuachalifuatilia kwenye versioning control.

Kama umefika hatua hii vizuri sana ungana nami kwenye video ijayo tuanza andika Grunt file.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Take Your CSS Experience to the Next Level with SASS

Take Your CSS Experience to the Next Level with SASS

Beginners or those who have taken a break from web design for a few years …