Home / Technics / Karibu Ujifunze Programming & Graphics Design Yesaya Software

Karibu Ujifunze Programming & Graphics Design Yesaya Software

Kadiri Teknolojia inavyobadilika Yesaya Software tunajitahidi kwenda sambamba na mabadiliko hayo yanayojitokeza ili tuweze kukupatia mbinu mpya na rahisi za matumizi bora na salama katika sekta hii.

Lakini pia tumia muda kukushirikisha mapya kuhusu teknohama wewe unae fuatilia website ya Yesaya Software (yesayasoftware.com), kwenye mitandao ya kijamii na hivi karibuni kupitia Android App.

Hapa Yesaya Software tumejikita katika Programming & Graphics Design. Lakini pia tunakutana na vijana wengi wenye kutamani kutoa mchango katika jamii kupitia sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.

Hivyo tunawasaidia namna ya kuanza, mbinu na vifaa vya kutumia kuanza kutengeneza program zao, kutengeneza website na pia kuonyesha ubunifu wao kupitia teknohama.

Kuna fursa nyingi kwenye sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano anza fuatilia mbinu na njia tunazopitia kufanya kazi na wewe uanze pata kipato kupitia sekta hii muhimu.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

The Use of Artificial Intelligence in solving challenges of Sexual Reproductive Health in Tanzania

Many years ago, in our Tanzanian culture, youths used to talk with their aunts sensitive/very …

  • Dorah Peter

    Honestly, your site inspires me. I learn a lot from it and i gain new ideas each and everyday.
    Keep up the good work and may God bless the work of your hands.