Home / Web Design / Sasa Unaweza Pakua Source Code za WordPress Theme Hatua ya Header

Sasa Unaweza Pakua Source Code za WordPress Theme Hatua ya Header

Kwa muda sasa tumekuwa tukitengeneza WordPress theme from scratch, na tumefikia hatua nzuri. Pia video nyingi bado ziko jikoni zikifanyiwa editing tayari kuwekwa kwenye website ya Yesaya Software.

Kwa hatua hii, imekuwa vyema tukiweka source code kwenye GitHub ili iwe rahisi kwa fuatilia hatua kwa hatua namna ya kutengeneza WordPress Theme from a Scatch.

Pakua source code sasa ili uweze fuatilia vyema na uweze fanya majaribio mbalimbali. Video hizi zimetengeneza kwa lengo la kukupanua uelewa kuhusu WordPress.

Wengi wamekuwa wakiinstall WordPress Theme bila kujua namna ilivyotengenezwa. Lakini pia tumekutana wengi wakiona kama kutengeneza website kwa WordPress ni kitu rahisi na wanahisi ni kuinstall tuu WordPress. Pia wapo Developers ambao bado hawajua umuhimu wa Content Management System (CMS) na Bado wanaendelea kutengeneza Static Website.

Vipindi hivi vitakupa uelewa mpya kuhusu kutengeneza Website na tafsiri tofauti juu ya WordPress. Tumechagua WordPress kama CMS kwa mafunzo na hata katika kazi za kila siku hapa Yesaya Software. Sababu ni kuwa WordPress ndio CMS maarufu zaidi na makampuni mengi wanaitumia, pili kuwa support kubwa kwenye internet community na hivyo endapo utapata shida basi itakuwa rahisi pata msaada.

Tukutane wakati mwingine na videos vikiwa tayari nitaweka hapa Yesaya Software ili uone hatua nilizopitia. Toa maoni yako sasa, kwenye mitandao ya kijamii like na shirikisha. Na hivi karibuni tumesha upload App ya Yesaya Software Play Store, pakuwa sasa upate taarifa kwa ukaribu zaidi.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Take Your CSS Experience to the Next Level with SASS

Take Your CSS Experience to the Next Level with SASS

Beginners or those who have taken a break from web design for a few years …