Home / Technics / Tumeanza Endesha Semina Ndogo Ndogo kwa Makundi

Tumeanza Endesha Semina Ndogo Ndogo kwa Makundi

Hapa Yesaya Software tunapata wageni mbalimbali na ofisi zetu zimekuwa busy kidogo. Tumeanza endesha semina ndogo ndogo kwa makundi madogo madogo.
 
Tumeweka ratiba ya wiki zima kwa wadau watao kuja jifunza pamoja nasi hapa Yesaya Software. Ambapo tunajifunza mwanzo hadi mwisho hatua kwa hatua, kwa kufanya kwa pamoja na kurekebishana pia. Zaidi tumekuwa tikitiana moyo na kujadiliana changamoto mbalimbali kuhusu Teknohama.
 
Ratiba hii ya wiki inajumuisha yafuatayo, Jumatatu: Web Application Development, Jumanne: Graphics Design & Web Design, Jumatano: Desktop Application Development, Alhamisi: Mobile Application Development na Ijumaa: Networking, PC Maintenance & Office Application.
 
Ni muhimu kuwa na laptop yako yenye uwezo wa kupata wireless, software kuhusu maswala tutayojifunza zinapatika Yesaya Software.
 
Huduma hii ni bure kabisa inayotolewa hapa Yesaya Software. Huduma hii ina lengo kusaidia vijana kupata uelewa wa maswala ya Teknohama (hasa Programming na Graphics Design) na hivyo kuweza kupata ujuzi waweze jiari au kuajiriwa wakiwa wana uwezo wa kufanya kazi kwa urahisi zaidi.
 
Kwa walio mbali bado Yesaya Software tunaweka videos kwenye Website ya Yesaya Software na pia kwenye App ya Android.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

The Use of Artificial Intelligence in solving challenges of Sexual Reproductive Health in Tanzania

Many years ago, in our Tanzanian culture, youths used to talk with their aunts sensitive/very …

  • christopher

    Poa bro, hope nitakutafuta ili nipate ujuzi.