Home / Programming / Laravel / 01. Install Laravel Kwenye Computer Yako

01. Install Laravel Kwenye Computer Yako

Kwenye video hii tumefanya Installation ya Laravel hatua kwenye hatua bila kuruka hatua yoyote. Kama uko tayari jiunga nasi tumia muda wako kuanza video hii ili uweze install Laravel Pamoja nasi.

Utakufana na msamiati Composer, huu ni mfumo unaosimamia mifumo ya PHP kwa kutunza dependencies na hivyo kutupa urahisi sisi Developer. Kwenye video hii tumeeleza kwa kina namna unayoweza tumia composer na jinsi inavyofanya kazi na pia namna tulivyoitumia kuinstall Laravel.

Pia kuna utakutana na php artisan ambayo ni task runner ya Laravel, command hii ni muhimu sana ndani ya Laravel hivyo itakulazimu uwe nayo familiar ili kurahisisha kazi zako.

Nahitimisha kwa kukukaribisha kwa mara nyingine, tumia dakika chache pitia video hizi ili uanze safari na kuinstall Laravel kwenye Computer yako.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …