Home / Graphic Design / Ni Vizuri Ukajua haya Unapoanza Shughuli za Graphics & Design

Ni Vizuri Ukajua haya Unapoanza Shughuli za Graphics & Design

Tumejumuika na wadau hapa Yesaya Software na siku ya leo ilikuwa ni utangulizi katika maswala ya Graphics & Design. Tumeongea mambo mengi hapa na tulianza kwa kuangalia aina ya Software za Graphics & Design zinajihusisha na picha za aina gani.

Tuliweza ona picha za aina ya Raster na zile za Vector, na kuna somo tulipata hapa, kwamba ni lazima ujue kazi utayopata itahitaji utumia Software ipi na inayosupport Raster au Vector. Hii itakusaidia sana katika kurahisisha kazi yako lakini na kutoa kazi katika ubora uliotengemea.

Pia tulipata muda ongelea Software mbalimbali za Graphics & Design, na hapa tulijikita katika Software kutoka kampuni maarufu kabisa ya Adobe. Na tumezitaja Adobe Photoshop, Adobe Illustrator pamoja na Adobe InDesign, ukitazama video hii utaweza ona namna tulivyoweza ona namna ambavyo tunaweza fanya kazi na hizi Software.

Kwa mara nyingine nina kukaribisha ujiunge nasi na kufuatilia video hii ili uweze anza sasa Graphics & Design na kupata mwanga namna mambo yanavyoenda kwa upande wa Graphics & Design.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

How to Create Logo in Illustrator and using Custom Brushes

How to Create Logo in Illustrator and using Custom Brushes

In this tutorial we are going the Logo in Adobe Illustrator and playing around the …