Home / Programming / Ukuaji wa Programming katika Historia

Ukuaji wa Programming katika Historia

Habari na ninayofuraha kukukaribisha tukiangalia namna ukuaji katika programming, tumeanza mwanzo kabisa katika miaka ya 60. Miaka hii programming iliandika interms of procedures, kwa kutenganisha majukumu ndani ya program kwa njia ya function. Na hapa tunayo mifano mingi ya Programming Language ambazo zilitumia njia hii ya procedure. Programming Languages hizi ni kama Pascal, hii siwezi isahau ni Programming Language ya kwanza mimi kujifunza nikiwa masomoni mwaka 2009. Zingine ni kama C na Fortran.

Baadae kutokana na ukuaji ya tehama, njia mpya zikajitokeza mwishoni wa miaka ya 70 na mwanzoni wa miaka ya 80. Programming Languages hizi zilitumia concept ya Object Oriented, tutaandaa kipindi kufanunua zaidi kuhusu Object Oriented pamoja na Features zake. Programming Language kama C++, Java, Object C, Python, Swift na C# ni mifano kati ya mifano mingi ya Programming Languages zinazotumia Object Oriented Concept. Na kwa taarifa tuu Programming Languages zote zinazofanya kazi miaka ya sasa zote ninatumia Object Oriented Concept.

Lakini pia kwenye video hii utasikia msiamiati mingine kama Framework, Pattern design na Best Practices ambazo zitakusaidi kwenye maisha ya Programming. Jiunge nasi kwenye video hii tuweze badilisha uzoefu kwa mambo tutayojadili kupitia video hii.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

The Use of Artificial Intelligence in solving challenges of Sexual Reproductive Health in Tanzania

Many years ago, in our Tanzanian culture, youths used to talk with their aunts sensitive/very …