Home / Technics / Utangulizi Android (Mobile Application Development)

Utangulizi Android (Mobile Application Development)

Yesaya Software tumekuwa tukishare mambo mbalimbali kuhusu Tehama kwenye website ya Yesaya Software (www.yesayasoftware.com) na pia Android App utayoipata Play Store kwa jina la Yesaya Software bila kusahau mitandao ya kijamii.

Hivi karibuni tumeanzisha mpango maalum wa kukaa na vijana wenzetu katika meza moja kwa kujifunza na kujadiliana kwa pamoja.

Ratiba yetu inajumuisha yafuatayo, Jumatatu: Web Application Development, Jumanne: Graphics Design & Web Design, Jumatano: Desktop Application Development, Alhamisi: Mobile Application Development na Ijumaa: Networking, PC Maintenance & Office Application.

Kwenye video hii ni utangulizi katika Android (Mobile Application Development), tukianza kwa kujadili mambo kadhaa kuhusu Android na eneo la Mobile Application kwa ujumla.

Unaweza jiunga nasi na huduma hii ni bure kabisa kwa sasa na tungefurahi kukutana nawe kubadilishana uzoefu katika Tehama. Wasiliana nasi sasa…

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

The Use of Artificial Intelligence in solving challenges of Sexual Reproductive Health in Tanzania

Many years ago, in our Tanzanian culture, youths used to talk with their aunts sensitive/very …