Home / Technics / Rekebisha Computer Inayosema “No Boot Device Found”

Rekebisha Computer Inayosema “No Boot Device Found”

Kwenye video hii, ungana na Emmanuel akituonyesha namna alivyorekebisha Laptop ilioletwa hapa Yesaya Software. Ikiwa na shida ya kushindwa kuwaka, ikitoa maandishi yanayosema “No Boot Device Found”. Tafadhali fuatilia video hii.

Kwenye video hii, utapata utangulizi hatua ambazo Computer inapitia kable ya kuwaka. Pia utapata jua Boot Sequence za Computer kutoka katika vifaa mbalimbali. Jambo lingine kwenye video hii, utaona namna utavyoweza fanya assumptions endapo Computer imepata shida.

Katika hatua nyingine, utaona Computer ilivyofungulia na kuangalia kama ina shida ndani baada ya kufanya utabiri jambo gani litakuwa tatizo. Pia utajifunza kuwa ukimaliza rekebisha ni muhimu ukafanya majaribio kabla hujaifunga Computer iliyo mbovu.

Ukijirizisha na matokeo baada ya kurekebisha Computer ifunge na ufanye majaribio tena. Kumbuka kunza vyema vifaa vyote utavyofungua kwenye Computer na hakikisha umefunga vizuri kabisa. Ungana nasi wakati mwingine na unaweza wasiliana nasi kupitia mitandao ya kijamii au sehemu ya maoni.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

The Use of Artificial Intelligence in solving challenges of Sexual Reproductive Health in Tanzania

Many years ago, in our Tanzanian culture, youths used to talk with their aunts sensitive/very …