Home / Programming / Java / 03. Weka ToolBar ndani ya Form ya Java Project kwa Kutumia NetBeans

03. Weka ToolBar ndani ya Form ya Java Project kwa Kutumia NetBeans

Ninatumia fursa hii kukualika uambatane nasi katika kuweka ToolBar ndani ya Java Form ndani ya Project katika NetBeans.

ToolBar ina msaada mkubwa kwa kutengeneza shortcut ya menu muhimu ndani ya Project yako. Kwenye video hii utapata ona hatua tulizo pitia katika kuweka ToolBar ndani ya Java Form.

Hatua ya kwanza tulianza kwa kwenda kwenye Swing Container Palette na kuchukua ToolBar, kisha tukaiongeza kwenye Form yetu. Baada ya hapo tukarudi kwenye Swing Controls na kuchukua Button na kuipele kwenye ToolBar tulioiweka.

Kwenye video hii pia tuangalia namna tunavyozipa majina components zitazotumika kwenye Project yetu. Hii itasaidia kuzitambua components zako ndani ya Java Code.

Ungana nasi kwenye video hii uanze tengeneza Project za Java ambazo zitatumika katika maisha halisi na hutaishia onyesha jina lako kwenye screen.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …