Home / Programming / Java / 04. Pangilia Form yako kwa Kuweka Panel, Label na TextField

04. Pangilia Form yako kwa Kuweka Panel, Label na TextField

Karibu sana utazame video hii, kwenye video hii utaona namna tulivyoweka components mbalimbali kwenye Form ya Java, components hizi ni kama Panel, Label na TextField.

Tuanza na kuweka Panel kutoka kwenye Palette ya Swing Containers, hii itatusaidia tenga eneo logically kutokana na taarifa tutazokusanya kwenye Form. Utaweza ona namna tulivyofuata guide ili kuweza weka panel sehemu husika na hii itasaidia tunza muundo wa Form hata tukibalisha ukubwa wa Form.

Baada tutaongeza Label na TextField kwenye Form yetu, pia utaona tukifuata best practices katika kutoa majina ya components zetu.

Ungana nasi kwenye video hii uanze tengeneza Project za Java ambazo zitatumika katika maisha halisi na hutaishia onyesha jina lako kwenye screen.

 

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …