Home / Programming / Java / 05. Ongeza Separator na Button kwenye Form ya Java

05. Ongeza Separator na Button kwenye Form ya Java

Karibu kutazama video hii, utapata fursa jua namna ya kuweka Separator na Button kwenye Form ya Java. Separator inatusaidia tenga maeneo katika design ya form, hii ni msaada mkubwa sana itakusaidia pangilia logically components zako kwenye form. Utaona pia namna tulivyoweza Button kwenye form na kama unavyojua Button itatusaidia kutrack event katika form yetu.

Na ndani ya video hii, na kwa project hii tutarun application yetu kwa mara ya kwanza, nitakuonyesha mstari wa kuchukua ili Form yako iweze onekana utakapo run.

Ungana nasi kwenye video hii uanze tengeneza Project za Java ambazo zitatumika katika maisha halisi na hutaishia onyesha jina lako kwenye screen.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …