Home / Programming / Java / 06. Tengeneza Button Icon kwenye Adobe Photoshop

06. Tengeneza Button Icon kwenye Adobe Photoshop

Karibu sana utazame video hii, video hii tumeonyesha namna ya kutengeneza Button Icon kwenye Adobe Photoshop. Hii imetokana na uhitaji katika Project yetu ya Java, katika Project hiyo tumeweka ToolBar ambayo ina Button. Na tulipenda weka icon katika Button hiyo.

Hivyo imetulazima ingia ndani ya Adobe Photoshop na kutengeneza icon itayotumika kwenye hii Button. Utaona hatua kwa hatua tengeneza mwanzo hadi mwisho tengeneza icon. Tunaanza kwa kutengeneza New  File na file hili tutalipa upana na urefu wa pixel 24. Kisha Document ikifungua kazi yetu ni rahisi tuu, tutaandika alama ya kujulisha na baadae tukarekebisha font size ili kuiweka sawa kwenye canvas yetu.

Baada ya hapo utaona namna tulivyo export file hili, na hapa la msingi file letu tulisevu kama .png na tulienda sevu kwenye folder la src ndani ya project yetu.

Ungana nasi kwenye video hii uanze tengeneza Project za Java ambazo zitatumika katika maisha halisi na hutaishia onyesha jina lako kwenye screen.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …