Home / Programming / Java / 07. Kuweka Icon kwenye ToolBar Button ndani ya Java Form

07. Kuweka Icon kwenye ToolBar Button ndani ya Java Form

Nitumie fursa hii, kukualika utazame video hii ambapo utapata fursa ya kupata ujuzi namna ya kuweka Icon katika ToolBar Button. Vilevile kwenye video hii utaona namna ya kubadili muonekano ya Form ya Java kwa kitaalam tunaita Look and Feel.

ToolBar ni sehemu ya juu ambayo iko chini ya Menu Bar, hii ToolBar inatusaidia tengeneza shortcut ya Menu Item zilizo ndani ya Menu Bar. Inatoa urahisi fikia maeneo muhimu katika Application yako.

Baada ya kumaliza tengeneza Icon kwenye Adobe Photoshop sasa tukarudi kwenye NetBeans na kuweka Icon kwenye Button yetu. Hatua ni rahisi kabisa kwa kuright click na kwenda properties kisha kwenye item icon tukachagua picha tuliotengeneza kwenye Adobe Photoshop.

Ungana nasi kwenye video hii uanze tengeneza Project za Java ambazo zitatumika katika maisha halisi na hutaishia onyesha jina lako kwenye screen.

 

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …