Home / Programming / Java / 08. Nakupa Changamoto ya Kazi Niliofanya 2013, Angalia ili Ikusaidie Kuanza Yako

08. Nakupa Changamoto ya Kazi Niliofanya 2013, Angalia ili Ikusaidie Kuanza Yako

Karibu sana, kwenye video hii nimedemonstrate kazi niliyofanya mwaka 2013. Kama umefuatilia video za Java zilizopita, hii ni changamoto kwako kutengeneza application yenye uwezo kama huu au zaidi.

Project hii niliitengeneza maalumu kwa wafanya biashara wadogo na wa kati ili kurahisi kutunza taarifa juu ya biashara zao.

Project hii inajumuisha kazi kama kutunza taarifa za bidhaa, kurecord manunuzi, mauzo na matumizi katika biashara.

Ungana nasi kwenye video hii uanze tengeneza Project za Java ambazo zitatumika katika maisha halisi na hutaishia onyesha jina lako kwenye screen.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …