Home / Programming / Laravel / 02. Configurations for Your Laravel Project

02. Configurations for Your Laravel Project

Karibu sana kutazama video hii, na leo tutaanganzia namna kufanya configurations ndani ya Laravel. Tutafanya database configuration kwa kurekebisha .env file ambalo ndio linasimamia configuration za database connection.

Laravel inasupport Database System nne: MySQL, Postgres, SQLite na SQL Server. Hivyo ni chagua lako unataka fanya kazi na Database ipi. Na hakuna haja kuwa na wasiwasi namna ya kufanya connection na database hizi, tayari Laravel wamefanya kazi hii kwa niaba yetu.

Kwenye video hii utaona namna ambavyo unaweza fanya connection na Database ndani ya Laravel, na katikati video hii tumetumia MySQL kama Database System yetu. Unaweza tumia Database nyingine na hatua zikawa sawa tuu na hizi tulizopitia kwenye MySQL.

Ungana nasi kwenye video hii uanze tengeneza Web Application ambazo zitatumika katika maisha halisi, ikiwa na usalama zaidi, uweledi wa hali ya juu na pia imefuata taaratibu za kimataifa katika uandishi wa Code.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …