Home / Programming / Laravel / 03. Prepare a Database for Your Laravel Project

03. Prepare a Database for Your Laravel Project

Karibu sana kutazama video hii, ungana nasi tukiandaa database ambayo tutaitumia katika Laravel Project yetu. Kwenye video ya awali tulifanya Configuration juu ya Database tutayoifanyia kazi, lakini tulikuwa bado hatujatengeneza Database.

Kwenye video hii tutaangalia hatua tulizopitia tengeneza empty Database kwenye MySQL database, database hii kumbuka ndio tulioitaja kwenye file la .env kwenye Laravel. Kwenye video hii tumetumia Navicat kutengeneza database, lakini kama wewe hauna unaweza tumia phpMyAdmin ambayo inakuwaja na WAMP au XAMP.

Hii maana yake uhusiano wa moja kwa moja wewe kuja kwenye Database umekwisha mambo yote utafanya kwenye Laravel. Ndio mambo yote utafanya kwenye Laravel, utatengeneza Database Table huko na pia unaweza futa Table huko kwenye Laravel pia.

Ungana nasi kwenye video hii uanze tengeneza Web Application ambazo zitatumika katika maisha halisi, ikiwa na usalama zaidi, uweledi wa hali ya juu na pia imefuata taaratibu za kimataifa katika uandishi wa Code.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …