Home / Programming / Laravel / 04. Create Virtual Host for Your Laravel Project

04. Create Virtual Host for Your Laravel Project

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii tutaangalia namna ya kutengeneza Virtual Host. Hii ni nzuri sana kama unakuwa unatengeneza project nyingi kwenye Computer yako itakupa urahisi fikia project zako.

Ili kutengeneza Virtual Host kwenye Computer yako itakupasa edit  mafile matatu, mawili ndani ya Apache  (httpd.conf na httpd-vhost.conf) na pia file la host lililo ndani ya System 32 folder.

Haijalishi unatumia XAMPP au WAMP mabadiliko utakayo yafanya yanalingana kabisa, na hii itakuwa masaada mkubwa sana kwenye kazi zako. Kumbuka ukimaliza fanya marekebisho ni lazima urestart services kwenye Apache Server kama hatua zilivyoelezwa kwenye video hii.

Ungana nasi kwenye video hii uanze tengeneza Web Application ambazo zitatumika katika maisha halisi, ikiwa na usalama zaidi, uweledi wa hali ya juu na pia imefuata taaratibu za kimataifa katika uandishi wa Code.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …