Home / Programming / Laravel / 05. Tafakari Namna Database Yako Itavyokuwa

05. Tafakari Namna Database Yako Itavyokuwa

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii utaona namna tulivyo tafakari database itakavyokuwa kwa project yetu. Kwa kawaida itakuwa vyema ukianza design database yako kwenye karatasi au sticky notes. Na ni vyema upate picha kamili ni field zipi zitakuwepo na zitakuwa ni data za aina gani. Hii itarahisha kazi yako, unakuwa na picha kamili hata kabla hujagusa keyboard yako.

Kwenye video hii, tulianza design database yetu kwenye sticky notes ndani ya Windows 10, tukaangalia ni table zipi tutakuwa nazo pamoja na field zake.

Na pia tulitazama field na tables nyingine zinazokuja na Laravel Out of the Box, kwa taarifa tuu tables hizi ni users table na password_resets table. Pia kuna field muhimu ambazo ni created_at na updated_at ambazo pia zinakuja na Laravel. Tumeeleza kwa uzuri sana kwenye video hii na itakuwa vyema ukipata muda na kufuatilia nini tumeongea kwenye video hii.

Ungana nasi kwenye video hii uanze tengeneza Web Application ambazo zitatumika katika maisha halisi, ikiwa na usalama zaidi, uweledi wa hali ya juu na pia imefuata taaratibu za kimataifa katika uandishi wa Code.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …