Home / Programming / Laravel / 06. Prepare Your Database Migration for Laravel Project

06. Prepare Your Database Migration for Laravel Project

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii tuandaa Database Migration ambayo ndio itatusaidia kutengeneza table ndani ya database. Kwa kutumia PHP Artisan tutaanda file la Migration kwa ajili ya kutengeneza Database Table ndani ya Database yetu.

Kwenye video hii tutatengeza Migration kwa ajili ya Database Table Posts, tutaona Best Practices za kutengeneza file hili ili sisi na Developer wengine duniani tuweza wasiliana na kusoma Code vizuri. Best Practices zinasaidia Developers kuwaweza fanya kazi kwa pamoja kwa urahisi kwa kuwekeana msingi na taratibu za kufuata katika uandishi wa Code.

Laravel inasupport data types nyingi tuu kwa ajili ya kutengeneza field kwenye Database, ni muhimu ukapata muda pitia documentation ya Laravel ili ufanye kazi yako vizuri. Pia Laravel inasuppost Table Relationship za aina sita(6): One To One, One To Many, Many To Many, Has Many Through, Polymorphic Relations na Many To Many Polymorphic Relations.

Ungana nasi kwenye video hii uanze tengeneza Web Application ambazo zitatumika katika maisha halisi, ikiwa na usalama zaidi, uweledi wa hali ya juu na pia imefuata taaratibu za kimataifa katika uandishi wa Code.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …