Home / Programming / Laravel / 07. Migration is Compared to a Versioning Control of Your Database

07. Migration is Compared to a Versioning Control of Your Database

Karibu sana kutazama video hii, Database Migration ni moja ya feature muhimu kwenye Laravel. Migration inatusaidia fuatilia mabadiliko ndani ya database yetu, na hivyo ninakuwa sahihi kuifanisha na Versioning Control kama Git.

Kwenye video hii tuko table fanya Migration, na nikisema kufanya Migration namaanisha kutengeza table kwenye Database kwa kutumia Laravel Task Runner Artisan (php artisan migrate). Hivyo kwa kukupa picha tuu, ni kwamba Table Structure inatengenezwa kwenye file la PHP na baadae kwa kutumia Artisan hili file likifanyiwa kazi linatengeneza Table kwenye Database.

Na hivyo hii inatupatia fursa kuwa na uwezo kucontrol au kufuatilia Table zilizo kwenye Database ukiwa kwenye Console. Ukiweza tengeneza Table futa au Roll Back mabadiliko ulioyafanya na unaweza Reset Table zako kwenye Database. Kwa kufafanua zaidi ukireset kinachofanyika ni kuroll back mabadiliko yote na kutengeneza upya Table bila data yoyote ndani ya Table. Kama bado hujanipata hapa ni muda wako sasa pitia video hii ili upate picha kamili namna Database Migration inafanyika kwenye Laravel.

Ungana nasi kwenye video hii uanze tengeneza Web Application ambazo zitatumika katika maisha halisi, ikiwa na usalama zaidi, uweledi wa hali ya juu na pia imefuata taaratibu za kimataifa katika uandishi wa Code.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …