Home / Programming / Android / 02. Create Your First Android App in Android Studio

02. Create Your First Android App in Android Studio

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii moja kwa moja tutaanza tengeneza Android Project kwenye Android Studio kwa mara ya kwanza. Ondoa shaka uko mikono salama kama utafuatilia vyema video hii basi utafikia sehemu nzuri kabisa.

Katikati ya video hii tutatumia muda mzuri kunatengeneza App zetu kulenga vifaa gani na pia kuangalia ni API Level ipi itakuwa ndio ya chini ili kutengeneza App yetu. Tutaona Template mbalimbali zinazokuja na Android Studio na kwa muda wako unaweza Test kuona namna gani unaweza anza tengeneza Android App.

Tumetumia muda mwingi kueleza kwa kina hatua hii muhimu kwenye utengenezaji wa Android App. Hii itakusaidia katika shughuli za kila siku namna bora ya kuanza tengeneza App yako.

Ungana nasi sasa ili unaanze kutengeneza Android Apps, tutakupa mwanga kwa yale uliona magumu na hapa tutakupa namna ya kuyafanya kwa njia rahisi na haraka.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …