Home / Programming / Android / 03. Files and Folders Organization Inside Android Project

03. Files and Folders Organization Inside Android Project

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii tutaangalia namna project nzima ya Android ilivyopangiliwa. Kuna mafile mengi yanakuja baada ya Android Project kutengenezwa kwa mara ya kwanza. Unachotakiwa fanya ni kujua unafanya kazi na file lipi na wakati gani.

Katikati ya video hii tutaanza na kuangalia vitu mbalimbali ndani ya Android Studio, vitu kama menu na ToolBar na masaada wake katika kazi. Wapi utafungua project mpya au wapi utatengeneza Android Virtual Device. Baada ya hapa tutaangalia project structure ya Android Project kwa undani kabisa na namna mafile na Java na XML yanavyolink pamoja kwenye Android Project.

Ungana nasi sasa ili unaanze kutengeneza Android Apps, tutakupa mwanga kwa yale uliona magumu na hapa tutakupa namna ya kuyafanya kwa njia rahisi na haraka.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …