Home / Programming / Android / 04. Testing an Android App in Virtual Device

04. Testing an Android App in Virtual Device

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii moja kwa moja tutaanza tengeneza Android Virtual Device (AVD), AVD itatusaidia fanya majaribio ya kazi tunayoitengeneza. Kwa tafsiri ndogo tuu AVD ni kama simu ya Android ambayo itafanya kazi tokea kwenye computer yako kukurahisishia kufanya majaribio, tunaita kifaa kisicho halisi.

Katikati ya video hii tutatumia muda mzuri kuanza angalia AVD inayokuja mara baada ya kuinstall Android Studio. Kwa kuangalia namna AVD hii ilivyotengenezwa hakika unaweza ongeza kifaa kingine tengeneza AVD nyingine ili ufanya majaribio zaidi.

Cha kuongeza hapa, kwenye video hii tumeangalia na AVD nyingine ambayo haiji moja kwa moja na Android Studio lakini inaweza kukupa matokeo mazuri zaidi kwa maana ya Performance. AVD hii inaitwa Genymotion. Tulifanya majaribio kwenye AVD zote mbili hivyo ninakukaribisha utazame video hii kuona matokeo tuliopata.

Ungana nasi sasa ili unaanze kutengeneza Android Apps, tutakupa mwanga kwa yale uliona magumu na hapa tutakupa namna ya kuyafanya kwa njia rahisi na haraka.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …