Home / Programming / Android / 05. Testing an Android App in Your Physical Device

05. Testing an Android App in Your Physical Device

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii tutaangalia namna ya kufanya maribio ya katika kifaa halisi yaani simu au tablet. Majaribio utayofanya kwenye AVD hayatoshi na kuna baadhi ya majaribio huwezi pata majibu yake kwenye AVD.

Katikati ya video hii tutaanza na kuangalia cable tutazotumia kuunganisha kwenye computer ni cable za kawaida kwa umaarufu tunaziita USB. Sasa ili wewe pia uweze ona nacho fanya nimeproject simu yangu ionekane kwenye Computer na hatua hizo nimeeleza kwa kina kwenye video hii.

Ungana nasi sasa ili unaanze kutengeneza Android Apps, tutakupa mwanga kwa yale uliona magumu na hapa tutakupa namna ya kuyafanya kwa njia rahisi na haraka.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Getting Started with Artificial Intelligence(AI)

Since the invention of computers or machines, their capability to perform various tasks went on …