Home / Technics / 01. IT Professionals and Procedures in Work Place

01. IT Professionals and Procedures in Work Place

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii tutaangalia taratibu za kazi kazini. Ni vizuri zaidi kwa mtu wa I.T kuelewa utaratibu wa kazi zake za kila siku, kila wiki na kila mwezi. Hii itamsaidia kufanya kazi zake kwa ufanisi na haraka zaidi.

Katika video hii nimegusia mifano michache ya kazi ambazo ma I.T wengi huzifanya kila siku. Hatua ya muhimu zaidi ni kuelewa Taratibu hizi na baadae kuziboresha ili kuendana na kasi yako binafsi na mazingira husika.

Ungana nasi kila siku za Ijumaa, hapa Yesaya Software ili tushiriki nawe ujunzi mbalimbali kutoka kwa wadau wetu ambao wameshiri kufanya kazi katika taasisi mbali mbali.

About Emmanuel

I Teach, Write, Learn, Explore and occasionally Sing during bath time.

Check Also

Whatsapp, Gmail

WhatsApp, Gmail Will Face Tough New Rules Set By EU Privacy Proposal

Online messaging and email services such as WhatsApp, iMessage and Gmail will face tough new …