Home / Technics / Project Upendo is Almost at the End

Project Upendo is Almost at the End

Kupenda kazi unayofanya ni jambo zuri sana, hapa Yesaya Software tunajivunia fanya kazi kwenye jambo tunalopenda.

Na kwa taarifa tuu, swala la kushare taarifa na ujuzi ni jambo zuri hakuna haja ficha ujuzi kwa tafsiri utapitwa na unae msaidia. Sisi Yesaya Software kushirikisha ujuzi kwa wengine ni fahari yetu.

Hivyo basi sisi ni wadau wa Open Source Software, na hivi karibu tutaweka WordPress theme kwenye GitHub ambayo unaweza itumia kwa kujifunza au kutumia kama website yako.

Jiunge nasi sasa kama uko tayari kujifunza kwa vitendo Programming na Graphics Design.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

The Use of Artificial Intelligence in solving challenges of Sexual Reproductive Health in Tanzania

Many years ago, in our Tanzanian culture, youths used to talk with their aunts sensitive/very …