Home / Others / Implementation of Management System at Lugoda Hospital

Implementation of Management System at Lugoda Hospital

​Safari yangu kwenda Lugoda Mufindi ilikuwa na lengo maalum moja tuu. Kuweka Computer System ili kufuatilia mauzo, manunuzi na idadi ya dawa katika Pharmacy ya Lugoda Hospital iliyo ndani ya kiwanda cha Chai cha Unilever.

Kazi hii ilinichukua takribani siku 3, na kwa niaba ya Index Labs TZ Limited. Huduma yetu katika Hospital hii ilikuwa ni ya mafanikio makubwa sana.

Tuliweka miundo mbinu ya Network katika ofisi 4 tofauti ili kuwapa fursa madaktari, watu wa reception pamoja na Pharmacy kwenyewe.

Jumla ya computer 5 ziliunganishwa na miundo mbinu ya Network tulioiweka pamoja na kuweka Wireless Router kuruhusu watumiaji wenye Laptop kuweza kuconnect na kuaccess System bila shida yoyote.

Kwa kumalizia tuu mfumo tulio uweka kwenye Hospital hii ni rahisi kutumia unaokoa muda lakini pia utunza taarifa vizuri za biashara yako na kukupa taarifa kwa urahisi unapozihitaji.

Kama wewe una hitaji sasa huduma hii usisite wasiliana nasi, tuna uzoefu wa kutosha katika shughuli hii. Tunakuhakisha chaguo utalofanya kwa kutumia huduma zetu ni sahihi na lenye manufaa kwa ustawi wa biashara yako.

About Yesaya R. Athuman

Colleagues know me as a highly Creative Software Developer who can always be trusted to come up with the new approach. But I know that client's business come first, and I never try to impose my ideas on others. Instead, I spend a lot of time understanding business and the audience before suggesting ideas. I can (and often do) work well alone, but I'm at my best collaborating with others.

Check Also

Google Assistant

All the Things You Can Do With Google Assistant That You Couldn’t Do Before

  Google’s new Google Assistant appeared in every part of the company’s hardware event yesterday. …