Home / About

About

Yesaya R. AthumanJina langu ni Yesaya, Nakukaribisha kwenye tovuti ya yesayasoftware.com. Kwenye tovuti hii nitakushrikisha uzoefu wangu kwenye Tehama.

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka minne nikifanya Computer Programming na Graphics Design. Napenda ninacho fanya na nimeona vyema kukushirikisha uzoefu nilionao na ninao endelea upate kila siku.

Utapata habari kidigitali mpya kabisa kisha nitakupa mwanga na mbinu mbalimbali nazo pitia katika kazi zangu za kila siku. Vyote kwa njia ya maandishi, picha na hata video.

Ungana nami Yesaya tukifurahia Teknohama na jinsi inavyobadili maisha yetu kwa namna ya pekee na tofauti kabisa kuwahi shuhudiwa katika uso wa dunia.

Website hii ni kwa ushirikiano wa karibu na Index Lab, ambayo ni kikundi ya Programmers ninao shirikiana nao katika kazi mbalimbali.

Justin Chanda
Justin Chanda
George Mapunda
George Mapunda
Neema Rajabu
Neema Rajabu