Home / Graphic Design

Graphic Design

This category is for Graphic Design projects

How to Edit Photo with Content-Aware in Photoshop CC

How to Edit Photo with Content-Aware in Photoshop CC

In the previous tutorial, we discussed about Content-Aware Adobe Photoshop feature in a summary. It lets us repair or replace, more complex areas, and even multiple areas at once, simply by drawing selections around them and letting Photoshop do the rest! In this tutorial, we will dive into more detail about …

Read More »

Consider VueJS for Your Next Web Project

VueJS

I had a great conversation with an interviewee a few weeks ago about how one should go about choosing a JavaScript framework. He pointed out that when a major software company releases their secret sauce, there is going to be hype. Devs think to themselves, “That company writes JS differently …

Read More »

Tengeneza Infographics na Adobe Illustrator Hatua Nilizopitia

Kuna wakati ungependa elezea taarifa flani kwa njia ya graphs au charts na wengi tumekuwa tukitumia spreadsheets kama excel kwa muda sasa. Infographics inapeleka mbele zaidi wazo hili kwa kutengeneza story juu ya taarifa unayotoa.  Juzi nilikuarifu juu ya Infographics, tayari nimemaliza project hii na hapa nitashare hatua nilizopitia. Katika …

Read More »

Tengeneza Icon kwa Adobe Illustrator

Kuna icons nyingi kwenye internet tayari, lakini ni vyema pia kama wewe ukapata muda tengeneza icons zako. Kuna wakati unaweza kosa kabisa icon ambayo itakidhi mahitaji yako. Icons tunazitumia maeneo mengi sasa kuanzia kwenye form za HTML hadi kwenye Mobile Apps. Hivyo kuna haja sasa kuwa na uwezo tengeneza icons …

Read More »

Tengeneza Logo na Adobe Illustrator kwa Hatua Rahisi

Habari… Asante kutembelea website ya yesayasoftware.com, ungana nami tukitengeneza Logo kutumia Adobe Illustrator hatua kwa hatua bila kuruka hata moja. Katika video hii nimetumia Adobe Illustrator CC 2015, ila ondoa shaka hatua zitakuwa sawa kabisa hata kama una toleo la nyuma kidogo. Nimeeleza sababu kwa nini utumie Adobe Illustrator kwenye …

Read More »

Tengeneza Photobook na Adobe InDesign

Habari… Asante kutembelea website ya yesayasoftware.com, ninakukaribisha tuandae Photobook na Adobe InDesign. Adobe InDesign inatumika tengeneza vitabu, brochure, magezeti na publications nyingi sana, na sasa hadi vitabu vya kielectonic ebook vinatengenezwa na Adobe InDesign. Katika video hii nimeonyesha mbinu na Tools mbalimbali ndani ya Adobe InDesign, nimetumia mfano ambao uko …

Read More »