Home / Web Design (page 2)

Web Design

This category is for Website Design projects.

4. Kuinstall Grunt & SASS

Ili kuweza kutumia SASS kupitia Grunt kwenye computer yenye Windows, ni lazima kwanza tuinstall SASS na Grunt. Hizi application zinahitaji mazingira maalum ili ziweze fanya kazi vizuri. Sasa basi kuzifanya zifanye kazi, ni lazima tuweke dependencies zake. Grunt inakuwa installed kwenye computer kupitia Node Package Manager, au npm kwa kifupi. …

Read More »

3. Kuinstall Starter Theme & Taarifa za Majaribio

Tumefanikiwa install WordPress, sasa twende Apperance kisha Themes. Hapa tunaona themes tatu zinazokuja na WordPress, Twenty Sixteen, Twenty Fifteen na Twenty Fourteen. Nitatembelea website ya underscores.me, Underscores ni WordPress Theme Generator, ambayo inatupa WordPress Starter Theme. Ni theme ambayo haijawa styled kabisa ila ina mafile yote muhimu ya WordPress. Nitajaza …

Read More »

2. Kuinstall WordPress

Tunaanze andaa mazingira ya kazi yetu, yaani kutengeneza WordPress Theme from Scratch. Hatua ya kwanza nitaingia kwenye website ya WordPress na kudownload WordPress. WordPress ikimaliza download nita extract WordPress zip folder, na baada ya hapo nita cut kwa Ctrl + X, kisha nitapeleka folder hili kwenye folder la www ndani …

Read More »

1. Andaa Design ya Website na Adobe Photoshop

Baada ya kupitia makala ya namna tunavyoshika vifaa vyetu vya mawasiliano, niliona vyema nikafanyia kazi mapendekezo yaliotolewa ndani makala hii. Makala hii ilimetolewa kwa kuzingatia utafiti uliofanyika mwaka 2013 na bwana Steven Hoober kujua namna ambavyo tunashika vifaa vyetu vya mawasiliano. Bwana Steven Hoober aliweza tizama/observe watu takribani 1,300 namna …

Read More »

Tengeneza E-Commerce Website kwa Njia Rahisi

Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia matumizi makubwa ya mtandao katika kufanikisha biashara mbalimbali. Na faida zitokanazo na matumizi ya mtandao katika biashara ni kubwa sana. E-Commerce website zinatumezesha kuwafikia wateja wengi zaidi, na hapa ninamaanisha dunia nzima. Yoyete atae ingia kwenye website yako atapata huduma zako kwa urahisi kabisa. Zamani …

Read More »

Conditional Rendering with v-if and v-show

VueJs is a small, flexible JavaScript library that allows developers to build interactive web applications quite easily through an API that is simple and easy to pick up. It shares some similarities and a number of differences with other libraries/frameworks like Angular, React, Ember, Polymer, and Riot to name a …

Read More »

2-Way Data Binding with v-model

VueJS

VueJs is a small, flexible JavaScript library that allows developers to build interactive web applications quite easily through an API that is simple and easy to pick up. It shares some similarities and a number of differences with other libraries/frameworks like Angular, React, Ember, Polymer, and Riot to name a …

Read More »

Beautify Your HMTL Forms with Bootstrap

Bootstrap

Creating Forms with Bootstrap HTML forms are the integral part of the web pages and applications, but styling the form controls manually one by one with CSS are often boring and tedious. Bootstrap greatly simplifies the process of styling and alignment of form controls like labels, input fields, selectboxes, textareas, …

Read More »

Tengeneza Post ndani ya WordPress

wordpress

Habari… Asante kutembelea website ya yesayasoftware.com, kipindi kilichopita tuliafanya matembezi ndani ya Administration Panel ya WordPress. Katika video hii, tunaangalia mambo makuu mawili kwenye WordPress. Tutaanza na kuangalia tofauti kati ya Post na Page ndani ya WordPress. Kisha tutaanza tengeneza Post yetu ya kwanza ndani ya WordPress. Katika kuandaa Post …

Read More »