Home / Web Design / WordPress

WordPress

Tutengeneze WordPress theme from scratch, kumaintain theme na kushare mbinu mbalimbali pamoja.

10. Kuanza Style Header ndani ya WordPress Theme

Kuanza Style Header ndani ya WordPress Theme

Kitu cha kwanza kuona mtu anapotembelea website yako ni header, na hilo ndio tutaanza nalo hapa. Header kwenye WordPress website inabeba site title, site description, home link na pia main menu. Kwenye hii theme kuna maamuzi nimefanya, sijataka header iwe iwe na urefu mkubwa sana nah ii ingechukuwa nafasi kuwa …

Read More »

9. Kutengeneza SASS Task na Kutest

Kutengeneza SASS Task

Katika video iliopita tulitengeneza Gruntfile pamoja na Watch task, sasa tunatakiwa tengeneza sass task ambayo itachukua mafile yote ya .scss na kutengeneza file moja la .css. Kabla hatujaandika chochote hapa ngoja tuangalia hili folder la sass, na tukiangalia hili file la style.scss utagundua ndilo file lina tambulisha theme yetu kwa …

Read More »

8. Kutengeneza Gruntfile na Watch Task

Tumekamilisha tengeneza package.json file, na sasa tuko tayari tengeneza Gruntfile, hili ni file litalo iambia Grunt nini cha kufanya na kwa mpangilio gani. Na hapa ndio tutajua task gani zitafanya kazi. Hatua ya kwanza tutangeneza file jipya, nitaright click na kuchagua ‘New File’ nitabonyeza Ctrl + S kisha nitaandika Gruntfile.js, …

Read More »

7. Ongeza Packages Grunt, SASS, Watch na Autoprefixer

Baada ya kutengeneza file la package.json sasa tuongeze package nyingine zitazotuwezesha ifanya kazi yetu. Package hizi ni grunt, sass, watch na autoprefixer. Kama kawaida tutamia npm kuinstall package hizi. Niko tayari kwenye command prompt na nimeingia ndani ya project yangu, nitaanza install Grunt package, nitaandika npm install grunt –save-dev.  Nitaclear …

Read More »

6. Kutengeneza Package File

Hatua inayofuata nikutengeneza Package File, na tayari nimeingia kwenye command prompt na kuingia kwenye project yangu. Kutengeneza package.json file tutamia command npm init, nitapata taarifa fupi na nimeulizwa swali. Nitaanza jibu maswali haya. Name nitakubali kuwa upendo, nitakubali version number, nitaandikia description, entry point nitajaza index.php. Nitaacha wazi test command, …

Read More »

5. Setup ya Versioning Control ndani ya Theme

Ili kujua hatua tunazopitia na kujua mabadiliko tunayoyafanya kwenye kazi yetu, pia kurudi kwenye hatua fulani katika kutengeneza, au hata kushirikisha wadau kwa urahisi wengine wakati wa utengenezaji wa theme yetu. Ni vyema tukatumia versioning control, na hapa tutatumia Git. Na hapa tutafuatilia folder la theme tuu, na sio pamoja …

Read More »

4. Kuinstall Grunt & SASS

Ili kuweza kutumia SASS kupitia Grunt kwenye computer yenye Windows, ni lazima kwanza tuinstall SASS na Grunt. Hizi application zinahitaji mazingira maalum ili ziweze fanya kazi vizuri. Sasa basi kuzifanya zifanye kazi, ni lazima tuweke dependencies zake. Grunt inakuwa installed kwenye computer kupitia Node Package Manager, au npm kwa kifupi. …

Read More »

3. Kuinstall Starter Theme & Taarifa za Majaribio

Tumefanikiwa install WordPress, sasa twende Apperance kisha Themes. Hapa tunaona themes tatu zinazokuja na WordPress, Twenty Sixteen, Twenty Fifteen na Twenty Fourteen. Nitatembelea website ya underscores.me, Underscores ni WordPress Theme Generator, ambayo inatupa WordPress Starter Theme. Ni theme ambayo haijawa styled kabisa ila ina mafile yote muhimu ya WordPress. Nitajaza …

Read More »