Home / Tag Archives: Android

Tag Archives: Android

05. Testing an Android App in Your Physical Device

05. Fanya Majaribio kwenye Kifaa Halisi (Simu Yako)

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii tutaangalia namna ya kufanya maribio ya katika kifaa halisi yaani simu au tablet. Majaribio utayofanya kwenye AVD hayatoshi na kuna baadhi ya majaribio huwezi pata majibu yake kwenye AVD. Katikati ya video hii tutaanza na kuangalia cable tutazotumia kuunganisha kwenye computer ni …

Read More »

04. Testing an Android App in Virtual Device

04. Fanya Majaribio kwenye Android Virtual Device

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii moja kwa moja tutaanza tengeneza Android Virtual Device (AVD), AVD itatusaidia fanya majaribio ya kazi tunayoitengeneza. Kwa tafsiri ndogo tuu AVD ni kama simu ya Android ambayo itafanya kazi tokea kwenye computer yako kukurahisishia kufanya majaribio, tunaita kifaa kisicho halisi. Katikati ya …

Read More »

03. Files and Folders Organization Inside Android Project

03. Mpangilio wa Mafile Ndani ya Android Project

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii tutaangalia namna project nzima ya Android ilivyopangiliwa. Kuna mafile mengi yanakuja baada ya Android Project kutengenezwa kwa mara ya kwanza. Unachotakiwa fanya ni kujua unafanya kazi na file lipi na wakati gani. Katikati ya video hii tutaanza na kuangalia vitu mbalimbali ndani …

Read More »

02. Create Your First Android App in Android Studio

Tengeneza Android Project ya Kwanza Kwenye Android Studio

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii moja kwa moja tutaanza tengeneza Android Project kwenye Android Studio kwa mara ya kwanza. Ondoa shaka uko mikono salama kama utafuatilia vyema video hii basi utafikia sehemu nzuri kabisa. Katikati ya video hii tutatumia muda mzuri kunatengeneza App zetu kulenga vifaa gani na …

Read More »