Home / Tag Archives: Illustrator

Tag Archives: Illustrator

Tengeneza Icon kwa Adobe Illustrator

Kuna icons nyingi kwenye internet tayari, lakini ni vyema pia kama wewe ukapata muda tengeneza icons zako. Kuna wakati unaweza kosa kabisa icon ambayo itakidhi mahitaji yako. Icons tunazitumia maeneo mengi sasa kuanzia kwenye form za HTML hadi kwenye Mobile Apps. Hivyo kuna haja sasa kuwa na uwezo tengeneza icons …

Read More »

Tengeneza Logo na Adobe Illustrator kwa Hatua Rahisi

Habari… Asante kutembelea website ya yesayasoftware.com, ungana nami tukitengeneza Logo kutumia Adobe Illustrator hatua kwa hatua bila kuruka hata moja. Katika video hii nimetumia Adobe Illustrator CC 2015, ila ondoa shaka hatua zitakuwa sawa kabisa hata kama una toleo la nyuma kidogo. Nimeeleza sababu kwa nini utumie Adobe Illustrator kwenye …

Read More »