Home / Tag Archives: Java

Tag Archives: Java

06. Tengeneza Button Icon kwenye Adobe Photoshop

06. Tengeneza Button Icon kwenye Adobe Photoshop

Karibu sana utazame video hii, video hii tumeonyesha namna ya kutengeneza Button Icon kwenye Adobe Photoshop. Hii imetokana na uhitaji katika Project yetu ya Java, katika Project hiyo tumeweka ToolBar ambayo ina Button. Na tulipenda weka icon katika Button hiyo. Hivyo imetulazima ingia ndani ya Adobe Photoshop na kutengeneza icon itayotumika …

Read More »

05. Ongeza Separator na Button kwenye Form ya Java

05. Ongeza Separator na Button kwenye Form ya Java

Karibu kutazama video hii, utapata fursa jua namna ya kuweka Separator na Button kwenye Form ya Java. Separator inatusaidia tenga maeneo katika design ya form, hii ni msaada mkubwa sana itakusaidia pangilia logically components zako kwenye form. Utaona pia namna tulivyoweza Button kwenye form na kama unavyojua Button itatusaidia kutrack event katika …

Read More »

04. Pangilia Form yako kwa Kuweka Panel, Label na TextField

04. Pangilia Form yako kwa Kuweka Panel, Label na TextField

Karibu sana utazame video hii, kwenye video hii utaona namna tulivyoweka components mbalimbali kwenye Form ya Java, components hizi ni kama Panel, Label na TextField. Tuanza na kuweka Panel kutoka kwenye Palette ya Swing Containers, hii itatusaidia tenga eneo logically kutokana na taarifa tutazokusanya kwenye Form. Utaweza ona namna tulivyofuata guide …

Read More »

02. Tengeneza Form ya Kwanza ndani ya Java Project

02. Tengeneza Form ya Kwanza ndani ya Java Project

Ninakukaribisha kwenye video hii ikiwa ni muendelezo wa video ya kwanza ambayo tulianza kwa kutengeneza project mpya ndani ya NetBeans. Hapa tutatengeneza form ya kwanza kwenye Java Project na kuweka component yetu ya kwanza (Menu Bar) ndani ya form hiyo. Tutapitia hatua zote hatua kwa hatua, na tutaanza kwa kutengeneza …

Read More »

01. Tengeneza Project yako ya Kwanza ya Java na NetBeans

01. Tengeneza Program yako ya Kwanza ya Java na NetBeans

Nakukaribisha kwenye video hii kwa mara ya kwanza kabisa tuanze kwa pamoja tengeneza Java Desktop Application. Yamkini umekuwa ukitengeneza Console Java Application kwa muda sasa na ungependa sasa kuanza tengeneza Java Application ambayo itakuwa na User Interface. Basi kwenye mfululizo wa video za Java hapa Yesaya Software tukiaanza na hii …

Read More »