Home / Tag Archives: Laravel

Tag Archives: Laravel

06. Prepare Your Database Migration for Laravel Project

06. Andaa Database Migration ndani ya Laravel Project

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii tuandaa Database Migration ambayo ndio itatusaidia kutengeneza table ndani ya database. Kwa kutumia PHP Artisan tutaanda file la Migration kwa ajili ya kutengeneza Database Table ndani ya Database yetu. Kwenye video hii tutatengeza Migration kwa ajili ya Database Table Posts, tutaona Best …

Read More »

05. Tafakari Namna Database Yako Itavyokuwa

05. Tafakari Namna Database Yako Itavyokuwa

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii utaona namna tulivyo tafakari database itakavyokuwa kwa project yetu. Kwa kawaida itakuwa vyema ukianza design database yako kwenye karatasi au sticky notes. Na ni vyema upate picha kamili ni field zipi zitakuwepo na zitakuwa ni data za aina gani. Hii itarahisha kazi yako, …

Read More »

04. Create Virtual Host for Your Laravel Project

04. Tengeneza Virtual Host kwa Ajili ya Laravel Project

Karibu sana kutazama video hii, kwenye video hii tutaangalia namna ya kutengeneza Virtual Host. Hii ni nzuri sana kama unakuwa unatengeneza project nyingi kwenye Computer yako itakupa urahisi fikia project zako. Ili kutengeneza Virtual Host kwenye Computer yako itakupasa edit  mafile matatu, mawili ndani ya Apache  (httpd.conf na httpd-vhost.conf) na pia …

Read More »

03. Prepare a Database for Your Laravel Project

03. Andaa Database kwa Ajili ya Laravel Project Yako

Karibu sana kutazama video hii, ungana nasi tukiandaa database ambayo tutaitumia katika Laravel Project yetu. Kwenye video ya awali tulifanya Configuration juu ya Database tutayoifanyia kazi, lakini tulikuwa bado hatujatengeneza Database. Kwenye video hii tutaangalia hatua tulizopitia tengeneza empty Database kwenye MySQL database, database hii kumbuka ndio tulioitaja kwenye file la …

Read More »

02. Configurations for Your Laravel Project

02. Configurations Ndani ya Laravel Project

Karibu sana kutazama video hii, na leo tutaanganzia namna kufanya configurations ndani ya Laravel. Tutafanya database configuration kwa kurekebisha .env file ambalo ndio linasimamia configuration za database connection. Laravel inasupport Database System nne: MySQL, Postgres, SQLite na SQL Server. Hivyo ni chagua lako unataka fanya kazi na Database ipi. Na hakuna haja …

Read More »

01. Install Laravel Kwenye Computer Yako

Kwenye video hii tumefanya Installation ya Laravel hatua kwenye hatua bila kuruka hatua yoyote. Kama uko tayari jiunga nasi tumia muda wako kuanza video hii ili uweze install Laravel Pamoja nasi. Utakufana na msamiati Composer, huu ni mfumo unaosimamia mifumo ya PHP kwa kutunza dependencies na hivyo kutupa urahisi sisi …

Read More »

MVC Ndani ya Laravel

Kwenye video hii kuna jambo muhimu sana tumejadili, jambo hili ni MVC. Kama wewe ni Developer na bado hujasikia neno hili ninakuasa sasa fanya hima upate uelewa zaidi juu ya hili kwa kuanza na kutaza video hii. Kama umesikia na pengine umefanya kazi na MVC basi itakuwa vizuri ukitumia takribani …

Read More »

Database Migration ndani ya Laravel

Habari… Asante kutembelea website ya yesayasoftware.com, ungana nami leo tukizama ndani zaidi ya Laravel, tukianza na Database Migration. Katika video hii nimeshare mengi sana kuhusu Database Migration katika Laravel. Nimeanza kwa kufananisha Database Migration ya Laravel kama version control ya Database yako. Kwani Database Migration ndani ya Laravel inatunza taarifa …

Read More »

Ndani ya Laravel 5.2, Mpangilio wa Mafile

Habari… Nakushukuru sana kuendelea ungana nami hapa yesayasoftware.com, kipindi kilichopita niliahidi kukuonyesha nini kipo nyuma ya pazia la Laravel. Nitumie nafasi hii kukualika kwenye video hii nikuonyeshe baadhi ya mafile muhimu, mpangilio na jinsi Model-View-Controller design pattern inavyofanya kazi ndani ya Laravel. Nimetumia toleo jipya kabisa la Laravel wakati huu, …

Read More »