Home / Tag Archives: WhatsApp

Tag Archives: WhatsApp

Changes in WhatsApp Privacy Policy

Mabadiliko ya WhatsApp Privacy Policy

Habari na asante kufuatilia vipindi vya Yesaya Software. Hivi karibuni tulitoa post kuhusu mabadiliko yaliyofanywa na WhatsApp kwenye Privacy Policy yao. Kwa tafsiri sahihi, WhatsApp imetuomba kushare taarifa zetu na Facebook kwa lengo la kuboresha huduma wanazozitoa. Na pia ni vyema ifahamike WhatsApp imekuwa sehemu ya Facebook tokea mwaka 2014. …

Read More »